Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,679
- 5,165
usiropoke ndug kama hujui soma taarifa vizurKwani mwezi October una Jumatatu moja? Pili hebu tulia ili uandike kitu cha maana kwa lengo la kuwadaidia watu. Mbona umeandika kwa haraka sana?
nimetumia uelewa kulifahamu hili tatizo kuwa ilikuwa typing error.we kama nani au unafanya kazi heslb?
kaka link j3 ndo inakuwa offical open kwa maelezo zaid tembelea helsb.go.tzWameshatoa majina ila link haifunguki
Ok poa mkuukaka link j3 ndo inakuwa offical open kwa maelezo zaid tembelea helsb.go.tz
nanga wewe unatafuta kiki kwetuTAARIFA KWA WANAFUNZI WALIOOMBA MKOPO 2016/2016. kumekuwa na taarifa zisizo rasmi juu ya utolewaji wa majina ya wanafunzi waliokosea kuwa yameshatolewa ila naomba niwekr sawa.bodi ya mikopo inawatangazia waombaji wa mikopo kuwa kuanzia j3 october itatoa majina kwa wale waliokisea taarifa mfano kutoweka picha ya mzamini,picha yake,sahihi ya mzamini au sahihi yake pia na maelezo mengine kama muhuri au matokeo ya form four kutokuwepo tafadhali share ujumbe huu kwa waombaji wote wa mkopo mwaka huu.usikose kutembelea page ya tanzania yetu hapa facebook kwa habari zaidi.
duuh mi sizani kama upo timamu wewe..mi natoa taarifa unasema natafuta kiki itabidi ukaombewe.nanga wewe unatafuta kiki kwetu
Taarifa zako ni za uongo ingia Www.heslb.go.tz uone ukweli jike shupa wwduuh mi sizani kama upo timamu wewe..mi natoa taarifa unasema natafuta kiki itabidi ukaombewe.