mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,775
- 2,198
Hujajibu swali. Nafahamu kuna online lakini ninachotaka ni masafa kwa ajili ya kusikiliza kwenye radioSikiliza kupitia online
Pole sana mwanafamilia Wa clouds Arusha. Kunashort ilitokea ikaunguza Buster ya kurushia matangazo hapo mlima Wa Radio hvyo mafundi wako hapo wanarekebisha Tuvumilie kidogo mkuu najua inavyo umaHujajibu swali. Nafahamu kuna online lakini ninachotaka ni masafa kwa ajili ya kusikiliza kwenye radio
Asante, sasa nimepata amani kwa kufahamu kwamba kuna tatizo. Kweli ianuma sana kum -miss Babra!Pole sana mwanafamilia Wa clouds Arusha. Kunashort ilitokea ikaunguza Buster ya kurushia matangazo hapo mlima Wa Radio hvyo mafundi wako hapo wanarekebisha Tuvumilie kidogo mkuu najua inavyo uma
Duu aise tunapata shida hasa PB magazeti na sportPole sana mwanafamilia Wa clouds Arusha. Kunashort ilitokea ikaunguza Buster ya kurushia matangazo hapo mlima Wa Radio hvyo mafundi wako hapo wanarekebisha Tuvumilie kidogo mkuu najua inavyo uma
Pole sana mwanafamilia Wa clouds Arusha. Kunashort ilitokea ikaunguza Buster ya kurushia matangazo hapo mlima Wa Radio hvyo mafundi wako hapo wanarekebisha Tuvumilie kidogo mkuu najua inavyo uma
Radio za maana kama TBC?yaelekea wewe ni mtu wa umbeaumbea, ushilawadu, majungu na ushakunanku mtaani! sikiliza radio za maana ili utoke ktk ufukara ulionao wa kimbeambea!
Hahaha sasa kama hata Papa Francis anajihabarisha kupitia shilawadu who are we not to.yaelekea wewe ni mtu wa umbeaumbea, ushilawadu, majungu na ushakunanku mtaani! sikiliza radio za maana ili utoke ktk ufukara ulionao wa kimbeambea!
Shukrani. Tayari nafurahia maraha ya Clouds FM!Leo imerud mkuu