Habar wakuu naomba msaada kuhusu hii registration form ya udom je wanavosema kuna karatasi nne lakin then moja nikae nayo!!sijaelewa wadau nipeni jibu wadau
Pili je NHIF na NSSF ndiyo kote tunalipia au shirika moja kiukweli sijaelewa visit.
Hiyo ya karatasi nne nadhani ni kwenye usajili kwamba utatakiwa kuwa na copy nne, tatu utakabidhi chuo, moja utabaki nayo kwa ushahidi kwamba umejisajili.
Nb. Ni mawazo yangu tuu, maana sipo udom wala siendi udom.