Marufuku ya 'doggy style'

sheikspear

Senior Member
Joined
Aug 31, 2018
Posts
144
Reaction score
58
Waziri south Africa apiga marufuku 'doggy style'adai inasababisha cancer
 
Kama doggy style inasababisha kansa basi mbwa na wanyama wote wanaotembea kwa miguu minne wangekuw wanaongoza kwa kansa maana wao wana style moja tuu, hawajui cha cockroach death wala cha nn.
 
Ngoja niache sasa!!!!😑😑😑😑
 
Hapoo sasa!Mkuu, Nimejaribu kuwaza kama wewe nikafeli kuelewa mechanism gani itatumika kuhakikisha katazo linatekelezwa?,ilipaswa atoe kama elimu au onyo tu! anyway T.I.A=(This Is Africa)πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Yupo sahihi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…