Marufuku mume wangu kugusa matiti yangu

Kumbe wewe muda wote una Manyonyo! Manyonyo ni kwa ajili ya mtoto kunyonya, MATITI ni kwa ajili ya mwenza wako!
 
Mjini ujanja ni kudamshi. Kuwa na nyonyo saa sita ili ukitupia kiblauzi kinatuna hata bila sindiria.

Kosa kubwa wanawake wengi wanafanya ni kuwaruhusu waume ama wapenzi wao kuyanyonya ama kuyafinya manyonyo wakati wa sita kwa sita.

Mm nimempiga marufuku mume wangu kugusa manyonyo yqngu kwa sabb yoyote ile. Asije akanizeesha manyonyo yangu. Na kwenye hili sina utani, huwa akijitia uchizi akayagusa tu gemu inaishia hapo hapo.
Sitaki!

Basi una matiti mazuri
 
Mhmm, wewe navyokufahamu mbona una ndala hapo kifuani, hiyo chuchu saa sita uitoe wapi wakati ushafanya abortion za kutosha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine hayo ndio catalyst yetu tuwapo faragha, tena tunapenda XXL size, unapotubania unamaanisha nini...

Anyway, mtu mwenyewe sexless, huenda unawasemea wanawake wanaotunza matiti yao yasiguswe, yasinyonywe na watoto, wapo wengi wa hivyo. Huo ni ujinga!!!
 
Hivi huku hakuna namna ya kuignore usione post au comments za mtu! Binafsi hili pakashume huwa linanikera mno
 
Mjini ujanja ni kudamshi. Kuwa na nyonyo saa sita ili ukitupia kiblauzi kinatuna hata bila sindiria.

Kosa kubwa wanawake wengi wanafanya ni kuwaruhusu waume ama wapenzi wao kuyanyonya ama kuyafinya manyonyo wakati wa sita kwa sita.

Mm nimempiga marufuku mume wangu kugusa manyonyo yqngu kwa sabb yoyote ile. Asije akanizeesha manyonyo yangu. Na kwenye hili sina utani, huwa akijitia uchizi akayagusa tu gemu inaishia hapo hapo.
Sitaki!

SEMA HAWARA YAKO! AU JAMAA ANAYEKUNUNUA KULE INSTA AU BADOO MWAMBIE HIVYO! MWANAUME GANI ALIYEOA ATA TAKA UJINGA HUO? UNADHANI MAZIWA YANA ZEEKA KWA KUNYONYWA? MTU NWENYEWE WEWE NI MBOGA SABA, KULA KULALA TU, HAUNA SIKU YA GYM WALA KUPIGA PUSH UP 10 ZA KIVIVU. WAANGALIE WAKINA SERENA WILLIAM, VENUS WILLIAM, MARIA SHARAPOVA, UNADHANI HAWANYONYWI HAYO MACHUNGWA SIJUI VIFUU VYA NAZI?

SEMA TU KWAMBA MIMI NIMEZIDIWA KETE NA MDOGO WANGU KANICHUKULIA BWANA KISA ZIWA LIMESIMAMA BILA SIDIRIA!
 
Huyu mtu kama ID yake ilivyo ni kama nyoka wa makengeza. Akiamua anakuwa mwanamke akiamua anakuwa mwanaume.

Wazee wa PM kazi kwenu. Ukikutana na popobawa usiseme hukuambiwa.
Huenda ana zote mbili. Huamua tu atoke vipi siku hiyo.
 
Mmmh mbona unamkosea mime wako, hata maaandiko yanasema mwanamke hana amri juu ya mwili wake, mwanaume pia hivyo hivyo.

Mkishakuwa mume na mke hakunaga mipaka muda wowote akitaka mpe, kwa style yko hapo mumeo kuchepuka muhimu, MPE raha mumeo, usimpimie wala kumbania hata Vitabu vya dini vyakata.

VP kuhusu watoto utanyonyesha au utampa house girl akusaidie kulea kulinda kufua chako

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hayo maandiko ukikutana na mwanaume baradhuli unaweza ukayakana kua hayapo katika baibo

Maendeleo hayana chama
 
Mjini ujanja ni kudamshi. Kuwa na nyonyo saa sita ili ukitupia kiblauzi kinatuna hata bila sindiria.

Kosa kubwa wanawake wengi wanafanya ni kuwaruhusu waume ama wapenzi wao kuyanyonya ama kuyafinya manyonyo wakati wa sita kwa sita.

Mm nimempiga marufuku mume wangu kugusa manyonyo yqngu kwa sabb yoyote ile. Asije akanizeesha manyonyo yangu. Na kwenye hili sina utani, huwa akijitia uchizi akayagusa tu gemu inaishia hapo hapo.
Sitaki!
Kwa hiyo vidume vyengine vishaburuza sana halafu mmeo ndo asiguse? Ukikua na ukaolewa utabadilika, kwa sasa hivi enjoy your saa sita tits days while they pass...
 
Back
Top Bottom