Martino aka Tata amrithi Vilanova Barcelona

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Geraldo Martino aka Tata ametangazwa hivi punde kuwa Kocha Mpya wa Barcelona. Anamrithi Tito Vilanova..More to come
 
yah confirmed kwa habari zaidi soma hii link hapo chini ,watu wengine bana wanakimbilia kuandika thread JF halafu hazina mashiko wala hazijashiba sasa mkuu hapo juu hiyo mistari miwili ndo thread?au ndo kupenda tu sifa bila details?hapa sio FB-jitahidi uishibishe habari hata kueleze background yake kidogo,bibliography,profile in footbal n.k
Gerardo 'Tata' Martino: Attacking football lover and hero of Newell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…