Hii ndiyo kazi yangu mkuu, Mimi jinsia ya kiume. Karibu sana.
Nadhani hayo ni mambo yangu binafsi , ni vizuri mkuu ungefuata kilichokuleta. Nakutakia mchana mwema.
sawa mkuu nimekusoma...nilikuwa curious baada ya kuona unafatilia sana mambo binafsi ya kina dada wa mjini...but ni kazi nzuri unafanya.
Yamewashuka , naona wanatoa mapovu tu apa.
Sasa nashangaa ndugu zako wananiita mbea , kama wenyew sio wambea humu wanafuata nini?.
kwa neno hilo lenye red huwezi ukawa mwanaume!basi kama wewe mwanaume utakuwa una umartin kadinda flani mixer aunt bilal

Ulijuaje Nina izo tabia kama na wewe hauna?? , halafu nakushangaa sana , kinachokuleta humu kama wewe hupendi umbea kitu gani ?? Uo ni unafk, na inawezekana tabia ulizizitaj wewe ndo unazo