Huyu mama kwanza si msafi kama anavyotaka tuamini,kwanza alifumwa na majambazi usiku wa manane akiwa peke yake na mwanaume padri,pia ndie alieharakisha Kibaki aapishwe usiku na kuiingiza nchi matatani na ana roho ya korosho kwani kila kitu anataka yeye kwanza hata alishinikiza majaji fulani wasiapishwe sababu eti hajashauriwa.
Pia inabidi awe na mwanaume kwanza kwani stress zimemuzidi na Kenya haiwezi kuongozwa na mtu asiye na mume /muke kwani haileti maadili mapema kwa mila za kiafrika,Kama tu Narc yake imemshinda kuongoza ndio ataweza Kenya,hata Sonko na Mungatana walimukimbia