Marry in haste

unataka kusema kwamba lisemwalo halipo??

mara ngapi wachumba wanakutania stendi kuu ubungo na kuoana baada ya wiki 4 za kuonana?
Lisemwalo lipo lakini pia akili ya ziada iwe inatumika katika kuaamua jambo...unapokuwa unaamua kufanya kitu kuna kahisia flan kanakuja ambacho inakualert, kikubwa kinachofanyika ni upuuziaj
 
Lisemwalo lipo lakini pia akili ya ziada iwe inatumika katika kuaamua jambo...unapokuwa unaamua kufanya kitu kuna kahisia flan kanakuja ambacho inakualert, kikubwa kinachofanyika ni upuuziaj

vijana wenyewe ndio wako front line katika kuharibu ndoa zao..

trust me, uchaguzi wa wapenzi/wenza umekuwa mbaya sana,

kushaurika nako imekuwa impossible...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…