HIZI NDOA HIZI!!!!!!!
Ndoa za zamani anniversary ya ukweli ni miaka 25 na miaka 50 kwanza wengine hata hawazisherehekei. skuhizi ukigonga miaka 10 ya ndoa unatoa hadi sadaka ya shukrani kanisani, na sherehe kabisa maana hata nyie wanandoa wenyewe hamjiamini kuwa mmewezawezaje kwa maana muziki wake sio mchezo aisee. Skuizi miaka mitano tu ya ndoa, mtu ana vidonda vya tumbo tayari, mtu ana presha, mtu ana ugonjwa wa kukosa usingizi, tatizo nini? Badala ya kuingia ili kutua mizigo watu wanaingia kujitwika mizigo. This is sad, but ukweli bado unabaki kwamba "ndoa inaweza kufurahiwa", " marriage can be enjoyed"
Siku hizi hakuna uvumilivu na watu wanaoana kimaslahi...
J'4 kuna jamaa ofcn kufanya part (naomba unielewe ninaposema part)
Guess the time "one year"
Ni mwaka Jana same month tumemuozesha! ! Wonders shall never end
Chief samahani lakini, Yesu Kristo hakuoa/hajaoa. Hiyo amani yake katika ndoa ni ipi??nawatakia amani ya Yesu Kristo Ikae Ktk Ndoa Zenu
Siyo uvumilivu
Ke inataka kucheza namba ya me mf kukojoa amesimama.
Me inataka kucheza namba ya ke kama kifo cha mende .
Endapo sheria hizi hapa zingefuatwa mambo shwari kabisa.
Mume kupenda.
Mke kutii
Ndoa ni mpaka uzee ni sheria hizo tu.
Huyo jamaa kafanya part au party?
Sasa kama mmezifanyia modification zipo mpaka za mikataba na idadi ya watoto na kwa muda huo mmjamiiane mara ngapi kwa mwaka unategemea nini?mnakutana maishaclub au billz keshokutwa mnatutembezea kadi za michango mtondogoo kitchenparty.
Tabia hamjuani yaani shughuli ukimsoma almarhum chinua achebe utamuelewa kuhusu osugirls,sasa kuna haki ya kufanya sharehe baada ya mwaka sababu hata huo mwaka umeisha kwa mbinde.