Maroketi ya Hezbollah yafika Israel

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,185
Reaction score
24,564
Baada ya kuhit targets za Haifa sasa Hezbollah wameanza kuichakaza Israeli

Iko wapi ile mifumo bora dunian kama mtuaminishavyo??

#UPDATE[emoji599]

Hebrew media:

“The calmness of Hezbollah today is very scary, perhaps Iran will attack us tonight”

Imagine being more scared of less attacks than more attacks..the Hezb psychological warfare is next level.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Impacts in Tel Aviv following missiles launched from Lebanon
 
Ndio matokeo ya vita hayo...

Kinachofuata ni kulipiziwa kisasi, na iraendelea hivyo hivyo...
 
Kuna nyuzi zilikuwa zinatembea humu kuwa Hezbollah ina silaha sawia na Israel au zinazokaribiana na Israel kwamba siku Israel ikivamia Lebanon mapigo kwa pande zote yataenda sawia kabisa, sasa hivo vi-drone ndio ulingaishe na mapigo ya Israel kweli?

Mimi tokea yule kamanda wao auwawe kizembe kule Beirut nimewapotezea kabisa hao Hezbollah, kidogo Hamas kapambana lakini sio hii takataka
 
Wabondwe tu.
 
Sasa Israel kiu yake ni kuivamia iyo hezbullah na kuwanyqng ,anyq mitutu yao kwaiyo Uzaifu wa hezbullah ishindwe vita vya ardhin lkn juu ngumu waIsrael wanatumia zana za jesh la marekani ndege na kila uduma y anga ivyo kupigwa lebanoni kwa anga aikwepeki tatizo lipo chini uko ndio hezbullah umuezi jamaa wanatisha iyo pande.
 
Naona drones ndio zinasaidia kuwatia adabu hao wazayuni ila rockets wanazitungua.
Iran iwasaidie hao technology kama yao kama US na West wanavyowasaidia Israel.
Siku Hizbollah ikiwa kama Iran basi Israel kwishney
 
Yaani unatuonyesha taa za barabarani zinavyowaka usiku harafu unasema Hezibollah inaichakaza Israel?
 
Kumradhi! Kuna changamoto kidogo
Oops!

We ran into some problems. Please try again later. More error details may be in the browser console.
 
Wanaogopa kumaliza. Ammunition maan hawajuii Iran itappiga saa ngapi ..yaan consumption ya Ammunition ni kubwa kuliko. Production kwa hiyo. Wakitumia hivyo hovyo. Itsakula kwao
 
Wanaogopa kumaliza. Ammunition maan hawajuii Iran itappiga saa ngapi ..yaan consumption ya Ammunition ni kubwa kuliko. Production kwa hiyo. Wakitumia hivyo hovyo. Itsakula kwao
 
Endelea kuimba taarabu zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…