kwa ujula jela ni mbaya, jela ni matesoMwamba alifanya soo kitaa akapelekwa jela KISONGO wakampiga para. Hana hamu na jela Tena.
NB: jela haina mbabe kama wahuni wametambaa na mwamba Sura ya kazi sembuse vijana wanaoshinda kwenye AC wanaendesha Dualis sijui IST?
NB: Tii sheria bila shuruti.
View attachment 2783305
Amelegea sana huyoMwamba alifanya soo kitaa akapelekwa jela KISONGO wakampiga para. Hana hamu na jela Tena.
NB: jela haina mbabe kama wahuni wametambaa na mwamba Sura ya kazi sembuse vijana wanaoshinda kwenye AC wanaendesha Dualis sijui IST?
NB: Tii sheria bila shuruti.
View attachment 2783305
Inaonekana mwamba sio riziki tena , jela hakufaiAmelegea sana huyo
HatariiKumbe alifungwa?
Alikaa mahabusu tu sio jela.Kumbe alifungwa?
nakazia. na wanapenda kuona mtu anapata tabu kwao furahaWatanzania wanapenda sana kuongelea negativity katika kila jambo. This is not good for the health of mind.😔
Hatari sana me ndo naona leoAlikaa mahabusu tu sio jela.
Madam Ritha ndiye aliyemtoa.
Ila wakipata wao wanalalamika sana kwanini watu wanakaa mbali nao wakati wa tabu zao.nakazia. na wanapenda kuona mtu anapata tabu kwao furaha
Mwamba kapasuliwa Spika bila shurutiHatari sana me ndo naona leo