Wanachokifanya E-Fm sasaiv siyo kigeni! Unapitaka kujitanga lazima uwe na mbinu za kuwapata wasikilizaji!
Mziki wanaopiga efm pale sabasaba Clouds walishafanya sana miaka 2001-2010. Kama unakumbuka ugomvi wa East cost na Tmk ( akina nature na gwamaka) ulianzia sabasaba ambapo walipambanishwa kumtafuta mshindi, walioandaa ni hao clouds FM. Show haikuisha c'se ugomvi mkubwa ullitokea ktk show.
Pia hata radio one na ITV zilipoanzishwa ilikuwa hivyo. Kwahiyo kwa sisi tulioshuhudia uanzishwaji wa hizi media atashangai sana.