Asante kwa ushauri, nipo katika mchakato huo.Nashauri ungekuwa unafanya open publication ya selected market research hapa Bongo then wenye interest ya market research wata subscribe may be kwenye website kwa ajili ya kupokea hiyo monthly subscription. Kwenye hiyo publication mnakuwa mnajitangaza kqa potential customers maana ndio watakaokuwa wengi kati ya waliojisajili.
All the best
Nimeipata, nitakujulisha.Nimeku email mkuu