maelezo hayajajitoshelezaNatafuta msichana mwenye taaluma ya marketing au customer care
Matangazo mengine ya kazi ni ya kihuni kabisa.Baada ya kumpata inakuwaje?
Tangazo la hovyo pasi na Shaka hata mwenye Tangazo ni wa hovyo kabisa!Natafuta msichana mwenye taaluma ya marketing au customer care
Lazma aliwe maflaBaada ya kumpata inakuwaje?
Naona kama ulikuja kuinjoi watu hahaha aise eti kashapatikana tayariIts good alishapatikana tayari na atataarifiwa muda si mrefu wanahakiki taarifa zake kwani ni nafasi 1 tu ilikua ndugu yangu.
Wala yasikutoke mimate kwenye mtandao.
Siku njema.
Yani wewe ni shoga pasee .!!Lazma aliwe mafla