Hi wana jf, samahani ijumaa nilipigiwa cm na radar recruitment leo saa 4 niende kufanya usaili kwa nafasi tajwa hapo juu, naomba kama kuna yeyote aliyeitwa na yeye tupeane update. JF PAMOJA KAMA FAMILIA MOJA.

Duu na Mimi niliomba hiyo nafasi ijumaa SAA 8:30asubuhi nilikuta missed call ya landline Ila nilivyojaribu kucall back ilionekana km huwezi kupiga ila wao wamaweza kukupigia.Nisaidie kupat hiyo no.iliokupigia ili niangalie labda ndo wenyewe.