Mark x inauzwa

Mzigo nauelewaga Sana huo ila ndo hivyo tena mbao zimebana
 
mbona kama imepakwa rangi hiyo.. kwa maana ya kwamba wameinyerereza
 
CC 2500 itembee kilomita 12 kwa lita moja?

I can't tell...
Ndio. Ila sio mjini kwenu Dar kwenye foleni ambako consumption inakua kubwa. Cc zisikutishe. Engine za saaa ni efficient sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…