Mark X Bei Nzuri Sana

lawyer2

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
224
67
Salaam wadau...Nauza Mark X ya 2005.Pearl colour...Iko poa kabisa na inacomprehensive Insurance inaisha mwakani.Good music na sports rims 17 inches.
Bei 12m.
Karibuni na
Kwa mawasiliano zaidi 0689900000.

1461257761710.jpg
1461257781787.jpg
1461257791597.jpg
1461257821707.jpg
1461257831427.jpg
 
Mkubwa mm naihitaji hiyo machine, ila hujaweka wazi ODO inasoma ngapi? CC ngapi? Kama ni CC2500 chukua 9m hata kesho. Niko seriously.
 
Back
Top Bottom