Mario Balotelli ndani ya Liverpool

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,475
Reaction score
21,046
Mshambuliaji wa AC Milan Mario Balotelli, 24, yuko njiani kwenda England kwa ajili ya kufanya vipimo vya afya huku mazungumzo yakiendelea ya kujiunga na Liverpool kwa pauni milioni 16.

Liverpool wanatarajiwa kumlipa Balotelli mshahara wa pauni 120,000 kwa wiki.

Mkataba huo hata hivyo huenda hautakamilika kabla ya Jumatatu ambapo Liverpool watacheza na Manchester City.
Inaaminika kuwa Liverpool wametaka hakikisho kutoka kwa Balotelli kuhusu kujitumia kwake uwanjani na nidhamu nje ya uwanja.


​

Source: BBCSport
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…