Wakuu, heshima kwenu.
Ninahitaji marine boards na mbao kwa ajili ya ujenzi slab.
Iwapo unauza au unamfahamu mtu anayeuza materials hizo zilizotumika tafadhali nijulishe kupitia kwenye thread hii au inbox. Site iko Dar es Salaam Wilaya ya Temeke.
Asanteni sana.