Maria u an't my mammy let me go on!

Pole sana huyo binti achana naye,she was after money.
 
but the problem come Kiinglish hiki................

Nimpongeze Maria kwa uamuzi wake 2004 sa hivi 2014

dah ila amemgaragaza maria sana,miaka 10 yote hyo ulikua unakula papuch ya mtoto wa watu kwa cheapest rewards! Afu still analalamika? Kwel dunia haina huruma, maria uamuz mzuri! #okbye
 
2004-2014,,,, maria kachukua uamuzi ulio bora maana kama ni mtt hapo atakua stndrd2.
 
aisee nimependa avatar yako imekaa kitabe. nahisi itakuwa na maana kubwa sana. hivi huo mstari wa mwisho inamaana mleta mada hajui jinsia ya ex wake.

Hapana chezea kilio cha mapenzi, hajui which is which.

As for my avatar its all thanks to you. Singeweka leo wala kesho.

[video=youtube_share;1TO48Cnl66w]http://youtu.be/1TO48Cnl66w[/video]
 
dah ila amemgaragaza maria sana,miaka 10 yote hyo ulikua unakula papuch ya mtoto wa watu kwa cheapest rewards! Afu still analalamika? Kwel dunia haina huruma, maria uamuz mzuri! #okbye

hahahaa Miak 10 wangekua na mtoto angekua karibu anamaliza na primary
 
wait for depreciation time...

she will come back and kneel down like PNC to ostaz juma na musoma! lol!

maamuzi mazuri lakini..
 
wait for depreciation time...

she will come back and kneel down like PNC to ostaz juma na musoma! lol!

maamuzi mazuri lakini..

Don take sides,

Hapa kila mmoja alitumika kwa mwenziye
 
10 years unagegeda kwa kumpa1000 daaaa..how dare u are kumchosha maria.

Mwache akapate mapenzi kwa mwanaume anayejuA kulea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…