Marekani yaikomalia Tanzania uchaguzi wa Zanzibar

Mlanje

Senior Member
May 16, 2013
141
77
Jana Marekani imetoa tamko kuonyesha kusikitiswa sana na kufutwa kwa uchaguzi wote wa tarehe 25 oct 2016,na imeitaka Tanzania kutafuta suluhu ya hali hii kwa kuheshimu maamuzi ya wazanzibar.Soma hapa
U.S. Concerned About Electoral Situation in Zanzibar
Press Statement
John Kirby
Department Spokesman
Washington, DC

January 29, 2016
________________________________

The United States regrets the decision of the Zanzibar Electoral Commission to announce a date for a new election on Zanzibar without achieving an inclusive, negotiated agreement on the way forward.

We call on the Government of the United Republic of Tanzania and President Magufuli to fully engage all parties to reach a prompt, peaceful, and inclusive solution on Zanzibar. Such a solution would be necessary to allow U.S. observation of any electoral process.

We urge all parties to exercise restraint, and to come together in a spirit of unity and compromise. Zanzibaris – and all Tanzanians – deserve a solution to the current impasse that respects the will of the voters, and reflects Tanzania’s strong commitment to democratic principles.
Source website ya ubalozi wa Marekani hapa Statement | Dar Es Salaam, Tanzania - Embassy of the United States
My Take
Ikiwa tamko hili halitazingatiwa basi Marekani inaweza kuiwekea Tanzania vikwazo mbalimbali.
 
wewe ndio unaitia aibu JF. Hiyo taarifay ni ya January 2016 leo ni January 2017- halafu unasema ni ya Jana. Pili sioni wapi maneno "Marekani imetoa tamko kuonyesha kusikitiswa sana na kufutwa kwa uchaguzi wote wa tarehe 25 oct 2016". Acheni kutpa vitu vichwani vyenu kuhalalisha jambo flani. HOPELESS GUY.
 
Huyu mleta mada nae ni moja ya tegemeo la UKAWA kuingia Ikulu?
 
Jana Marekani imetoa tamko kuonyesha kusikitiswa sana na kufutwa kwa uchaguzi wote wa tarehe 25 oct 2016,na imeitaka Tanzania kutafuta suluhu ya hali hii kwa kuheshimu maamuzi ya wazanzibar.Soma hapa
U.S. Concerned About Electoral Situation in Zanzibar
Press Statement
John Kirby
Department Spokesman
Washington, DC

January 29, 2016
________________________________

The United States regrets the decision of the Zanzibar Electoral Commission to announce a date for a new election on Zanzibar without achieving an inclusive, negotiated agreement on the way forward.

We call on the Government of the United Republic of Tanzania and President Magufuli to fully engage all parties to reach a prompt, peaceful, and inclusive solution on Zanzibar. Such a solution would be necessary to allow U.S. observation of any electoral process.

We urge all parties to exercise restraint, and to come together in a spirit of unity and compromise. Zanzibaris – and all Tanzanians – deserve a solution to the current impasse that respects the will of the voters, and reflects Tanzania’s strong commitment to democratic principles.
Source website ya ubalozi wa Marekani hapa Statement | Dar Es Salaam, Tanzania - Embassy of the United States
My Take
Ikiwa tamko hili halitazingatiwa basi Marekani inaweza kuiwekea Tanzania vikwazo mbalimbali.
Mkuu kukurupuka sio luzuri
 
Hii kitu itawapa wabaya wetu sababu ya kutuadhibu kwa namna moja au nyingine
 
Wakuu samahanini sana nilikosea kuiandika hii post kwa kutokujua tarehe ya tamko hili samahani sana
 
Akili zenu za kupenda bila kuangalia kilema kutawaua. Umeangalia imeandikwa nili?

Kabadike barabarani ili wengi wasome.

Kwanza Trump amewafukuza mabalozi wote

NGOMA NI KUBWA KULIKO MATEGEMEO YETU!!
 
Kama usingetuwekea hii source ya information, Statement | Dar Es Salaam, Tanzania - Embassy of the United States
wengi tulishaamini ni habari za kupika. ... From the Embassy website, hii habari ipo na huu Mwaka (2016 badala ya 2017) ni wao wameukosea ! My take : Sasa ni Rasmi : Trump aanza vita na waliopika matokeo ya Zanzibar
Press Statement
John Kirby
Department Spokesman
Washington, DC

January 29, 2016.

Wakati huo Trump hakuwa na mamlaka na ubalozi wa Marekani nchini Tanzania.
 
Alafu. Ata kama walikosea kuandika. Mwaka. Jana ilikuwaa j.pili sina hakika kama ubalozi unakuwaga wazi. J.pili
 
Wakuu samahanini sana nilikosea kuiandika hii post kwa kutokujua tarehe ya tamko hili samahani sana
Kumbe,nilifikiri umesikia hilo tamko likisomwa hiyo jana kwenye media na ubalozi wa Marekani. Wakati huo nijuavyo D. Trump amewaagiza mabalozi wote warejee Marekani na afanye utezi upya.
 
Ya mwaka jana january, 2016. Hata kusoma tarehe ya andiko lako mwenyewe umeshindwa!?
 
Back
Top Bottom