Marekani ni wahuni tu

kinsakina

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
1,276
Reaction score
1,218
Wanalalamika eti urusi anatumia chakula kama silaha,Tena wakamchafua Kila Kona ya Dunia,Leo Israel anazuia maji,chakula ,umeme na huduma nyingine HAWA HAWA MAREKANI WANASEMA ANAHAKI YA KUJILINDA huu sio undumilakwili,pamoja na kuwapiga Wapalestina Kwa makombora na kuharbu majengo Yao.

Yawajaridhika wanazuia hata maji ya kunywa halafu MAREKANI na washirika wake wamepiga kimya na kuipongoza Israel,MAREKANI SIO TAIFA LA KIBINADAMU.

THIS IS SATANIC DOMINATION,huu ni wakatwa mwisho mgogoro wa Israel na Palestine hujaanza Leo umeanza kabla ya kristo,ni mgogoro wa kiimani, Israel na Palestine ni uzao wa Ibrahim ,tuwe makini na hili taifa na huduma zake duniani,ni mitego ya kutunasa.

Hawa Hawa ndio wanabariki ushoga,kesho wanatuletea misaada ,kesho kutwa wanatukamua kwenye madini,bando za internet. HAWA NDIO WALIOMUA GADAFI NA KULETA MACHAFUKO LIBYA.

Ndio wanaotoa misaada kwenye elimu fekiwaliotuleete.Tuiombee Israel ya kweli yenye upendo na sio hii iao gozwa na marekani
 
America na Europe wao ndio balaa la hii Dunia wanajidai wadai haki ni tofouti kabisa

Ukiona wanakusaidia ujuwe wanakutumia kama wanavyo mtumia Israel na Ukraine.
 
Tupunguza haraka. Andika kwa kueleweka na sio kudakia kila wazo bila mpangilio. Mwisho hamas wanapata wanachostahili kwa maana gaidi sio binadamu ni muuwaji tena asie na roho kama sisi binadamu wa kawaida.
 
Tengeneza tatizo halaf litatue utasifika
 
Dunia hii kama bado upo hai shukuru Mungu....kumechafuka
 
Mko vitani mnaomba maji na chakula? hamkujiandaa na maji yenu na chakula chenu? wapelekeeni tende. Ningekuwa nasikilizwa ningewaambia Israel wasitoe maji hata tone, na wasitoe chakula hata tone moja. Hamas walijigamba walijiandaa kwa vita ya muda mrefu, sasa maandalizi yao yamefikia wapi?
waachwe wapigane wanajiona vidume, wachwe.
 
Bro unajua leo? Marekani ni walowezi wa kiingereza, waingereza ndio watu washenzi kuwahi tokea pamoja na ndugu zao wa ulaya magharibi (Ufaransa, Ubeligiji n.k)
 
Huna akili basi
 
Huna akili basi
Kapigane na wewe upunguze hasira zako. Ila ukumbuke maji na chakula chako. Hatutaki ufike huko uanze kuomba adui yako aruhusu njia upate maji na chakula.
Tuko vitani halafu nikuruhusu ubadilishe magazine ya bunduki, au nikusubirie ujaze mabomu kwenye mizinga. Hahaha, baki nakili zako, kila mtu anazake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…