Gulio Blog
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,056
- 4,124
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ususie bidhaa za mchina?Tulikuwa tunadangaywa na propaganda za watu wachache kwamba Marekani ni wavuruga amani pamoja na Kuwaita mabeberu lakini bado hawa watu wana huruma sana na Afrika. Misaada mingi wameendelea kutupatia.
Kilichotokea kwenye uchaguzi huu wananchi tumejionea wenyewe viongozi wetu ndio cha amani kupotea.
Marekani wameonesha kutupigania sana tangu kipindi cha kampeni kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa uhuru na haki nadiliki kusema hawa ndio rafiki zetu wa kweli.
Wenzetu hawa wachina wameamua kuharalisha haya yaliyofanyika kwenye uchaguzi huu pamoja na kwamba wananchi tumekuwa wateja wa bidhaa zao hapa naona kuna umuhimu hata kususia bidhaa zao.
Sikubaliani na kuondolewa wapinzani bungeni, ila pia sikubaliani hata kidogo kusema marekani ni rafiki zetu wa kweli. Hawanaga rafiki wa kweli wa kudumu wana agenda zao za kudumu kwa ajili ya nchi yaoTulikuwa tunadangaywa na propaganda za watu wachache kwamba Marekani ni wavuruga amani pamoja na Kuwaita mabeberu lakini bado hawa watu wana huruma sana na Afrika. Misaada mingi wameendelea kutupatia.
Kilichotokea kwenye uchaguzi huu wananchi tumejionea wenyewe viongozi wetu ndio cha amani kupotea.
Marekani wameonesha kutupigania sana tangu kipindi cha kampeni kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa uhuru na haki nadiliki kusema hawa ndio rafiki zetu wa kweli.
Wenzetu hawa wachina wameamua kuharalisha haya yaliyofanyika kwenye uchaguzi huu pamoja na kwamba wananchi tumekuwa wateja wa bidhaa zao hapa naona kuna umuhimu hata kususia bidhaa zao.
Waulize watu wa Cuba na Venezuela kibano wanachopata kutokana na vikwazo vya mabeberu.Marekani na nchi za ulaya, ukienda nao sawa, lazima uwe na maisha mazuri.
Angalia South Korea, Singapore, etc
Kinyume chake ni sahihi, ukijaribu kwenda kinyume na misingi inayoaminiwa na wa marekani, hauwezi kupiga hatua yoyote kwenye hii dunia.
Magufuli anajaribu, lakini hatakuwa na mwisho mzuri
Marekani na nchi za ulaya, ukienda nao sawa, lazima uwe na maisha mazuri.
Angalia South Korea, Singapore, etc
Kinyume chake ni sahihi, ukijaribu kwenda kinyume na misingi inayoaminiwa na wa marekani, hauwezi kupiga hatua yoyote kwenye hii dunia.
Magufuli anajaribu, lakini hatakuwa na mwisho mzuri
China ndio veto yetu....Tulikuwa tunadangaywa na propaganda za watu wachache kwamba Marekani ni wavuruga amani pamoja na Kuwaita mabeberu lakini bado hawa watu wana huruma sana na Afrika. Misaada mingi wameendelea kutupatia.
Kilichotokea kwenye uchaguzi huu wananchi tumejionea wenyewe viongozi wetu ndio cha amani kupotea.
Marekani wameonesha kutupigania sana tangu kipindi cha kampeni kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa uhuru na haki nadiliki kusema hawa ndio rafiki zetu wa kweli.
Wenzetu hawa wachina wameamua kuharalisha haya yaliyofanyika kwenye uchaguzi huu pamoja na kwamba wananchi tumekuwa wateja wa bidhaa zao hapa naona kuna umuhimu hata kususia bidhaa zao.
Unategemea mageuzi kwa wanasiasa kama hawa πππTulikuwa tunadangaywa na propaganda za watu wachache kwamba Marekani ni wavuruga amani pamoja na Kuwaita mabeberu lakini bado hawa watu wana huruma sana na Afrika. Misaada mingi wameendelea kutupatia.
Kilichotokea kwenye uchaguzi huu wananchi tumejionea wenyewe viongozi wetu ndio cha amani kupotea.
Marekani wameonesha kutupigania sana tangu kipindi cha kampeni kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa uhuru na haki nadiliki kusema hawa ndio rafiki zetu wa kweli.
Wenzetu hawa wachina wameamua kuharalisha haya yaliyofanyika kwenye uchaguzi huu pamoja na kwamba wananchi tumekuwa wateja wa bidhaa zao hapa naona kuna umuhimu hata kususia bidhaa zao.
Susiaa hili jinga kwelTulikuwa tunadangaywa na propaganda za watu wachache kwamba Marekani ni wavuruga amani pamoja na Kuwaita mabeberu lakini bado hawa watu wana huruma sana na Afrika. Misaada mingi wameendelea kutupatia.
Kilichotokea kwenye uchaguzi huu wananchi tumejionea wenyewe viongozi wetu ndio cha amani kupotea.
Marekani wameonesha kutupigania sana tangu kipindi cha kampeni kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa uhuru na haki nadiliki kusema hawa ndio rafiki zetu wa kweli.
Wenzetu hawa wachina wameamua kuharalisha haya yaliyofanyika kwenye uchaguzi huu pamoja na kwamba wananchi tumekuwa wateja wa bidhaa zao hapa naona kuna umuhimu hata kususia bidhaa zao.
HaikuhusuMarekani na nchi za ulaya, ukienda nao sawa, lazima uwe na maisha mazuri.
Angalia South Korea, Singapore, etc
Kinyume chake ni sahihi, ukijaribu kwenda kinyume na misingi inayoaminiwa na wa marekani, hauwezi kupiga hatua yoyote kwenye hii dunia.
Magufuli anajaribu, lakini hatakuwa na mwisho mzuri
Kawape Jicho kabisaLive Longer US, kwanzia Leo nitanunua bendera ya Marekani niweke ndani kwangu
Hahah mmeghairi kuingia ktk Maandamano??Lodi,,lodi,,,imeishia wapi makamanda.
kama vipi basi mmuachie mungu tu,yeye mwenyewe alietuumba si anaona.
subirini 2025 twende na Shangazi Fatma Karume.
#2025 makamanda twendeni na Shangazi.