Marekani: Mfano wa kutowaogopa Polisi unapodai haki zako

Synthesizer

Platinum Member
Feb 15, 2010
12,272
21,452
upload_2016-7-11_15-56-14.png

“This is a legendary picture. It will be in history and art books from this time.”

NI picha ya mwanamama mmoja wa Kimarekani aliyeshiriki maandamano ya kudai haki za watu weusi kutouwawa ovyo na Polisi huko Marekani. Amekuwa kielelezo cha kuonyesha kwamba Polisi walio wanyanyasaji bila uniform, silaha na marungu yao wanayotumia kupiga watu si lolote si chachote - ni viumbe dhaifu tu, some weakly minded human beings ambao hawana uwezo wa kukabiliana na mtu wa nguvu wasipokuwa na vifaa vyao vya unyanyasaji.

Amesimama thabiti ukimlinganisha na askari wanaotaka kumtia nguvuni, wakiwa na silaha, mavazi na vifaa wanavyotumia kujipa nguvu na kujilinda ambavyo watavivua baada ya kumaliza shifti yao ya kazi....wabakiwe watupu wakati yeye ataendelea kuwa na nguvu zake ambazo hazihitaji mavazi ya kujilinda wala silaha ili kuonyesha ana nguvu zaidi yao.

Hawa ndio wanawake ambao Kamanda Silo alipaswa kusema wanastahili kuigwa.
(Mshituko: Polisi Wamekosea Sana Kushauri Wananchi Wawe Jasiri Kwa Majambazi.)

“Look at her posture. She is balanced, powerful, upright and well grounded with both feet firmly planted on the earth,” Jamie West commented on the post.

“Look at the line made from the crown of her head to the heels of her feet. She is only protected by the force of her own personal power.”

“By contrast, the officers have the transitory, temporary, protection of their equipment that will be removed at the end of their shift. They are rocked back on their heels, knocked off balance, and appear about to fall over backward, just from the power of her.

The woman, since revealed as 28-year-old Ieshia Evans, was one of more than 100 protesters arrested on Saturday during demonstrations over race-fuelled violence by police.

The photo was taken by photographer Jonathan Bachman for Reuters, but has been shared widely, including by prominent journalist Shaun King who described it as “powerful”.

Evans was held by police for 24 hours but has since been released
 
Back
Top Bottom