Marekani kwishnei

Marekani itabaki historia ,alisikia muuza alkasusu pale msikiti wa Mtoro View attachment 3571509
Mkiambiwa msome, mnasema mnadharauliwa;
Kwa wale wasomi wabobezi wa History; wanajua kabisa Marekani kuangukia pua sio ajabu. Mfano; kama Roman Empire ya mwaka 476AD, au Mongol Empire ya 14 Century na hii ya hapa majuzi; Ottoman Empire ya mwaka 1922 zote hizo ziliweza kuanguka na zilikuwa na nguvu pengine mara kadhaa zaidi ya Marekani (kwa wakati wake); Unanifikiri nini cha ajabu kwa marekani ku collapse?
Huwa na waambia Irani Ipo katika nchi tano Duniani ambazo raia wake wamesoma vizuri Elimu ya juu (masomo ya Sayansi) na sio historia au sijui theologia.....na ndio sababu wanajiamini.......
 
Mkishashiba makande mnaongea chochote

Dola ya mwisho baada ya Marekani na nchi za Ulaya ,ni Ujio wa Yesu kristo

Acha kudanganywa na masheikh ubwabwa eti Kuna DOLA YA ALLAH inakuja mara Dola ya Uislamu

Kwasasa magaidi ni watachezea vipigo tu


Ngoja nikupe elimu ambayo huwezi kupewa madrasa mpaka unakufa

Ndoto hii ilitafsiriwa na nabii Danieli na inaonyesha falme (dola) kuu za dunia mpaka mwisho.


1. Kichwa cha dhahabu
πŸ‘‰ Inawakilisha Dola ya Babeli
Mfalme wake: Nebukadneza II
Ilikuwa dola yenye utukufu mkubwa

2. Kifua na mikono ya fedha
πŸ‘‰ Dola ya Umedi na Uajemi
Iliichukua Babeli
Ilikuwa dhaifu kidogo kuliko ile ya kwanza

3. Tumbo na mapaja ya shaba
πŸ‘‰ Dola ya Ugiriki
Iliongozwa na Alexander Mkuu
Ilienea haraka sana duniani

4. Miguu ya chuma
πŸ‘‰ Dola ya Roma
Ilikuwa na nguvu sana, ilivunja falme nyingine

5. Miguu ya chuma na udongo
πŸ‘‰ Falme zilizogawanyika (baada ya Roma)
Nguvu + udhaifu kwa pamoja
Watu wengi huona hizi kama mataifa ya sasa yaliyotokana na Roma

Jiwe lililochongwa bila mikono (Danieli 2:34-35)



Jiwe linawakilisha Yesu Kristo
Jiwe linapiga sanamu yote linaangusha falme zote za dunia
Linakuwa mlima mkubwa unaojaza dunia yote

KWAHIYO BAADA YA MAREKANI NA UMOJA WA ULAYA ,HAKUNA DOLA NYINGINE

HAYA YAMEANDIKWA MWAKA 538BC

NA YANATIMIA VILE VILE

Muhtasari RahisiπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Babeli
Umedi na Uajemi
Ugiriki
Roma
Falme zilizogawanyika (leo)


MwishoUfalme wa Mungu kupitia Yesu Kristo


 
Mkiambiwa msome, mnasema mnadharauliwa;
Kwa wale wasomi wabobezi wa History; wanajua kabisa Marekani kuangukia pua sio ajabu. Mfano; kama Roman Empire ya mwaka 476AD, au Mongol Empire ya 14 Century na hii ya hapa majuzi; Ottoman Empire ya mwaka 1922 zote hizo ziliweza kuanguka na zilikuwa na nguvu pengine mara kadhaa zaidi ya Marekani (kwa wakati wake); Unanifikiri nini cha ajabu kwa marekani ku collapse?
 
Nishakupa jibu ,kwa ujinga wako umerudia kile kile

Dola ya mwisho baada ya Marekani na UMOJA WA ULAYA ni DOLA YA KRISTO BWANA WA MABWANA MFALME WA WAFALME
 
Zilikuwa zama sawa na man u, bercalona, Hitler na sasa Marekani.
Itabaki historia
Tushangalieni jamani Marekani Kwishnei. Kammon kata hilo uunoo nyau ww.

Your browser is not able to display this video.
 
Marekani inaanguka lini mkuu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…