Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,979
Umetisha kiongoziMkuu hakuna Nchi inayoingia USA bila visa hizo ulizotaja masharti ya kupata visa ni mepesi ukilinganisha na Nchi zingine ..ingekua hivyo Wabongo,wapopo au wasenegali wangeenda UK na kuchukua uraia hili waende bila Visa USA...
Inashangaza sana kwa kweli mwarabu kutwa kucha kukimbilia US! Walipopigwa pini kipindi kile walilia hadi wakashangaza.Kwani Marekani Peponi!!
Mkuu hakuna Nchi inayoingia USA bila visa hizo ulizotaja masharti ya kupata visa ni mepesi ukilinganisha na Nchi zingine ..ingekua hivyo Wabongo,wapopo au wasenegali wangeenda UK na kuchukua uraia hili waende bila Visa USA...
Ni kweli ukiwa na passport za hizo nchi hauhiultaji visa kuingia US na unavyosema sijui wapopo na wabongo wangechukua uraia wa Sijui U.K au France wewe unafikiri ni mchezo kupata huo uraia kwa hizo nchi wachilia mbali uraia viza tu. na ata ukipata huwezi kuhitaji tena kwenda US maana maisha ni mazuri kuliko ata hiyo USMkuu hakuna Nchi inayoingia USA bila visa hizo ulizotaja masharti ya kupata visa ni mepesi ukilinganisha na Nchi zingine ..ingekua hivyo Wabongo,wapopo au wasenegali wangeenda UK na kuchukua uraia hili waende bila Visa USA...
Inaonekana unajuwa kuliko mtoa mada.....................Street life maana ya Visa ni kigezo anachopata mgeni kuingia Nchi husika sasa zipo aina Mbili za Visa kuna visa anapata mgeni anapoingia iwe border au airport na aina ingine ya visa ni kuiomba kabla haujasafiri ukiwa katika Nchi yako kwa ubalozi wa Nchi unayotaka kwenda kwa maana hiyo hizo Nchi zilizotajwa hawapewi hizo visa zote na wanaingia? Nchi ambazo hawatumii visa ni leseni ya udereva au kitambulisho cha kazi ni Scandinavian country ni muda wanafanya hivyo kwa kuzuia ugaidi Nchi karibu zote USA lazima wapate VISA...
Mbona kupata visa ya UK ni ngumu kupata kuliko US?Mkuu hakuna Nchi inayoingia USA bila visa hizo ulizotaja masharti ya kupata visa ni mepesi ukilinganisha na Nchi zingine ..ingekua hivyo Wabongo,wapopo au wasenegali wangeenda UK na kuchukua uraia hili waende bila Visa USA...
Mpango kwa sasa ni canada wazee..achaneni na hii Nchi inayojiona pepo. Nendeni mkapigwe baridi ya Canada na chance ya kubakia huko ni rahisi sana. I recommend Canada/Australia than USAWengi miongoni mwa watu watakaoomba viza za kuingia nchini Marekani wanaweza hivi karibuni kuanza kuombwa utambulisho wao katika mitandao ya kijamii, historia ya safari walizozifanya, namba zao za simu na anuani ya barua pepe.
Haya yanakwenda sambamba na mapendekezo ya Rais Donald Trump ya kuwachunguza kwa kina raia wa nchi za nje wanaoingia nchini humo. Kulingana na maelekezo ya wizara ya mambo ya nje, masharti hayo yatawahusu watu milioni 14.7 kila mwaka, ambao wataombwa taarifa zao za mawasiliano na safari katika muda wa miaka mitano kabla ya tarehe ya kuomba viza.
Waomba viza vile vile wataombwa kueleza ikiwa waliwahi kufukuzwa kutoka Marekani, au iwapo kuna mtu aliye na uhusiano nao ambaye aliwahi kuhusika katika vitendo vya kigaidi.
Nchi kama Ujerumani, Ufaransa na Uingereza, ambazo raia wake hawahitaji viza kuingia Marekani, hazitahusishwa katika utaratibu huo mpya, lakini China na India ni miongoni mwa nchi zinazolengwa.
Kwa kuanza life zote ni ngumu kwa kweli Mimi nilipokua naanza mambo ya safari sijawahi kufikiri kwenda katika balozi zao nilizipita tuu ila nilipotoka Nje ya Nchi ilikua rahisi kwenda na kupata Visa zao hao wote bila usumbufu...Sasa hivi ni bora kuanzia life Australia, Asia huko USA wanadundisha sana vijanaMbona kupata visa ya UK ni ngumu kupata kuliko US?
Visa on arrival.Street life maana ya Visa ni kigezo anachopata mgeni kuingia Nchi husika sasa zipo aina Mbili za Visa kuna visa anapata mgeni anapoingia iwe border au airport na aina ingine ya visa ni kuiomba kabla haujasafiri ukiwa katika Nchi yako kwa ubalozi wa Nchi unayotaka kwenda kwa maana hiyo hizo Nchi zilizotajwa hawapewi hizo visa zote na wanaingia? Nchi ambazo hawatumii visa ni leseni ya udereva au kitambulisho cha kazi ni Scandinavian country ni muda wanafanya hivyo kwa kuzuia ugaidi Nchi karibu zote USA lazima wapate VISA...