Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Ubabe wa kijinga kukalia nchi za watu .maji yamewafika shingoniWaondoke tuu hawa ndio Maigaidi yenyewe, kazi kuchafua Nchi za watu.
Ngoja niutafute.Utafute huu uzi, umeeleza kila kitu na haishangazi leo Mmarekani kuondoa majeshi yake Mashariki ya kati. Hali ni tete kwake na kwa mshirika wake.
Haya mkuu, ukiingia katika jukwaa la international mwanzo mwanzo au kati kati utaukuta.Ngoja niutafute.
Nitag mzeeHaya mkuu, ukiingia katika jukwaa la international mwanzo mwanzo au kati kati utaukuta.
Kila jambo lina mwisho wake mkuu, ila Hawa jamaa sio watu poa...Ubabe wa kijinga kukalia nchi za watu .maji yamewafika shingoni
Wanaondoka huku nyuma wakitumia bajeti iliyokuwa ipangwa kuendesha hicho kituo kitatumika kuwafadhili vikundi tena kuendeleza vurugu hapoKila jambo lina mwisho wake mkuu, ila Hawa jamaa sio watu poa...
Ulivoandika utadhani wewe ndio mpanga mipango mkuu hapo White HouseWanaondoka huku nyuma wakitumia bajeti iliyokuwa ipangwa kuendesha hicho kituo kitatumika kuwafadhili vikundi tena kuendeleza vurugu hapo