Yeye anapeleka silaha Ukrain- China akisaidia Urusi anamuwekea vikwazo
Yeye anawapa silaha zote Israe, Wengine wakisaidia anakasirikisha na kutisha
Yeye anawakandamiza raia wanaondamana wake wengine wakifanya anakemea
Yeye anafanya baishara atakavyo- wengine wakifanya anawaekea vikwazo
Hivi anaonaje wengine? kama hawana haki yoyote duniani?
Anasahau kulikuwa wanatawala wengi duniani wenye nguvu hivi sasa mataifa hayo yamekuwa historia tu?