Yawezekana kuna anayejua kujua mfumo wa marejesho nmb aliyekwisha kupitia hilo atafafanua. Kwa sasa niko mbali na hilo tawi matawi yao mengine hawawezi kutatatua hilo jamboSasa ufafanuzi gani?, mkataba ulijaza wewe na makubaliano yenu ni baina yenu. Ugumu upo wapi kuwataarifu wafanyacho sio makubaliano yenu?