MAREHEMU PABLO ( DAZ NUNDAZ)
Marehemu msanii Pablo kwa ambae hamfahamu alichana katika wimbo wa daz baba, nipe tano, ukiitizama utamsikia akijitaja jina lake, kavaa t shirt ya mistari.pole kwa wale woote wanaharakati wa mziki wetu kwasababu tumempoteza mmoja wa wanaharakati. mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi . RIP
Enjoy..
Ngoma yake inaitwa "mjanja"
Mjanja sio walaza au mpaka uitwe brother/dozi kuwa wa kwanza/ kama bado uwezi kublaza/ mjanja upo smart/ na mambo yake safi/ alimjali ebas labda akipata nafasi/skuli kama kazi na anapatusua kichizi/ rhymes kupita tizi/na mjanja sio mwizi/ na yupo fasta na no! anaishi kirasi/ fast yup fast / ma siste du hawa mngasi/ majanja kupiga buku/ au macho kwenye ludhuku/ ki bush huku na huku/ mjanja napita mkuku/ hakika mtu wa watu / haoni hatari kutoa kavu/ sometime alifanya viatu/ kuwa na macho makavu/ anacheki sana mbali/ ndio maana mjanja tajiri/mjinga uwe bahili/ sio nguvu tu tumia akili wee!!/ kazi au dili Usikubali/ kuwa wa pili/ kuwa jasiri na atakae kuzingua fasta😠😠 u
Pablo ( Daz nundaz crew) ngoma inaitwa " Mjanja ft Inspector haruna..
#funguka..
Hivi mtu mjanja ni mtu wa Aina Gani..
Ebu nitajie washkaji zako ambao ni wajanja hapo kitaani kwenu.