mjunguonline Member Joined Mar 10, 2011 Posts 73 Reaction score 6 May 21, 2011 #21 Km upo tayali kuzaa namimi,nitafute
Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,282 Reaction score 4,556 May 21, 2011 #22 Msisahau idadi ya wake ni 23!
T Twasila JF-Expert Member Joined May 12, 2011 Posts 1,913 Reaction score 599 May 21, 2011 #23 Nitayainua macho yangu nitazame vilima, msaada wangu utatoka wapi? Msaada wangu u katika Bwana aliyeumba mbingu na nchi.
Nitayainua macho yangu nitazame vilima, msaada wangu utatoka wapi? Msaada wangu u katika Bwana aliyeumba mbingu na nchi.
Tajy JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 298 Reaction score 24 May 21, 2011 #24 mbona mtu mmoja tu hapa Arusha anao mia na ushehe,wake zake 40,ukiwa unatoka karatu utawakuta njian wanauza maziwa na mzee kajijengea school yake mwenyewe?huyo shekh cha mtoto
mbona mtu mmoja tu hapa Arusha anao mia na ushehe,wake zake 40,ukiwa unatoka karatu utawakuta njian wanauza maziwa na mzee kajijengea school yake mwenyewe?huyo shekh cha mtoto
M msegeju Member Joined May 21, 2011 Posts 11 Reaction score 2 May 21, 2011 #25 The Boss said: sasa watoto ishirini waona wengi sana? mimi by now nnao kumi na tano na sijafika 40 Click to expand... wazee wa zamani hao bwana usishangae
The Boss said: sasa watoto ishirini waona wengi sana? mimi by now nnao kumi na tano na sijafika 40 Click to expand... wazee wa zamani hao bwana usishangae