Marco Rubio atoa neno kuhusu Iran!!!!!

Marekani waijibu dunia kuhusu Iraq, waliipiga sana Iraq kwa kisingizio cha silaha za maangamizi, baada ya kumuua Saadam Hussein watuambie hizo silaha za maangamizi huko Iraq ziko wapi.
 

Ngojea nikupe basi habari kama hujui Trump alitangaza atawahutubia wamarekani kuhusu vita alitaka kutangaza kisha shinda sababu walienda wakapiga sehemu wamedai ndipo Iran anatengeneza Missiles wakijua wameisha shinda na kawaida Iran huwa hapigi sana asubuhi yeye ni usiku sana. Sa Trump anajiandaa kutoa speech imebaki saa tu ya hio speech Iran akapiga kule Saud Arabia kuna sehemu inaitwa Khareej kuwauwa Mapilot walio enda kupiga wote wako kwenye masanduku sasa.

Kwa hio Trump hakutoa speech yuko kwenye kilio kwa sasa.

Huyu waziri hana jipya Iran tokea nwanzo walikuwa hawataki kuwa na Nuclear Boom walikuwa wanataka Peaceful Nuclear Energy tatizo lenu nyie wavaa misalaba mna magonjwa ya uwongo
 
Kwa hiyo mkuu unatetea us kuivamia irani.

Tuache upuuzi wa aina hii.
TRUMP ni kichaa na anafanya mambo ambayo walipa kodi wa US hawajayabariki.
 
Kwa nini?
Nchi pekee iliyowahi kutumia nuclear bomb ni USA dhidi ya Japan huko Hiroshima na Nagasaki mano mwaka 1945 na kuua takriban watu 200,000. Ikiwa ulimwengu utahitaji haki na ukweli basi waanze naye mmarekani kumdhibiti kwa kuwa na silaha kubwa za maangamizi.
 
Acha ujinga hakuna nchi duniani iliyo wahi kutumia Nuclear Bomb!!
Atomic Bomb ndilo lililotumika Hiroshima na Nagasaki!!!
 

Utofauti uliopo kati yako na huyo uliyem-quote ni kuwa, wewe unazo facts na ndio msingi wa mjadala yeye anaenda bila facts.

Sasa hivi utaitwa pro Iran.
 
Acha ujinga hakuna nchi duniani iliyo wahi kutumia Nuclear Bomb!!
Atomic Bomb ndilo lililotumika Hiroshima na Nagasaki!!!


View: https://youtu.be/9OR3OlT-Oe8?si=unaUICVbUvd-E-1S​

Nuclear bomb (Bomu la nyuklia) hili ni jina la jumla (umbrella term) kwa mabomu yote yanayotumia nguvu ya nuklia (atomic nucleus).
Linajumuisha aina kuu mbili:-
Atomic bomb (fission)
Hydrogen bomb (fusion)
Kwa hiyo, kila atomic bomb ni nuclear bomb, lakini si kila nuclear bomb ni atomic bomb.
 
Na uzuri Irani ashasema yeye anajenga nuclear kwa ajili ya nishati. Ila wakimuudhi ataanza kufikiria kujenga nuclear kwa ajili ya silaha za maangamizi, na pindi akikamilisha majaribio yake atayafanyia Israel 😂😂
Unafahamu nishati uranium yake inarutubishwa kwa asilimia ngapi na Iran imesharutubisha kwa asilimia ngapi na unafahamu nyuklia uranium yake inarutubishwa kwa asilimia ngapi. Tuanzie hapo kwanza.

Ukishapata jibu ndio urejee tena hapa.
 
Hakika. America is the most irresponsible nation on earth. Hakuna taifa jingine lolote duniani ambalo limewahi kutumia nuclear weapons dhidi ya binadamu!
 
Mnahangaika Bure na mashetani US na Mazayuni lini shetani akaipinga dhambi? Iran anapigana vita ya dunia mbaya kuliko wakati wote kutokana na maendeleo ya technology duniani hivyo Kuna uwezakano wa kupigwa bomu la nyuklia(Mungu aupushie mbali) Sioni namna ya hawa washenzi kushinda vita bila option hio muajemi anapeleka moto sio poa
 
Dunia nzima hadi raia wa USA wenyewe wanapinga hii vita dhidi ya Iran,
Hawa baadhi ya Christians kinachowasumbua ni jina tu la Serikali ya mapinduzi ya kiislamu ya Iran, hilo tu 🙏
Huwezi kutetea Israel wanachokifanya Middle East ukiwa na akili timamu nje ya masuala ya kidini.
 
Ni taifa haribifu ila ndio upo huko kwao umezamia
 
Ni taifa haribifu ila ndio upo huko kwao umezamia
Tatizo si kila mmarekani anafurahia nini serikali yao inachokifanya, kama wakipatikana viongozi waadilifu wenye kupenda amani nadhani taifa la Amerika lingekuwa la kuigwa, lakini linaendeshwa na wachache wenye ukwasi na ushawishi mkubwa ndani ya nchi wenye viburi ndiyo maana biashara yao kubwa ni vita tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…