Marco Gaguti alitudhibiti na kahawa ya magendo, sasa mwendo mdundo kazi iendelee urefu wa kamba ndio huu

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,305
15,034
Yule mjeshi(Marco Gaguti) tulinyoosha mkono.

Ulikua ukitaka kuvusha mzigo unashangaa ashakudaka mwenyewe na rushwa hachukui.
Ukipita majini unashangaa fiber ishafika na yeye yumo.

Ukivusha kupitia vichochoro unaona bodaboda kumbe ni mwenyewe alikua halali yule jamaa.
Nchi imefunguka na Kagera imefunguka kuelekea Uganda mambo sio mabaya kabisa.

Kazi iendelee.
 
Sasa huyu wa sasa hivi mkimpiga Safari kadhaa tu mtapitisha hata bunduki, hana habari wala nini.
Na vile kaambiwa sasa hivi atulie basi atatulia hasa.

Hata alipokua Mbeya, gendo la tumbaku ya Chunya kwenda malawi tulipiga fresh kabisa hanaga shida sisi tunajua vichochoro vya nchi hii na tufanye nini kwa wakati gani lakini Gaguti tulimkimbia alituweza hawa waliobaki ni oya oya kama kawaida
 
Mjeshi alikuwa na uhakika wa mafao ya ubrigedia hadi kufa na mkewe!

Hata alipotumbuliwa alirudi kikosini na kukabidhiwa prado landkruza lenye dereva sajenti wa jwtz na msaidiz afisa nyota moja wa jwtz. Hapo ofsn anakuta ps private dem wa jwtz ndo maana hana uharaka na rushw za m20!

Akina kajamba nan kama mimi nitakula mrungula hata wa lak 1 coz nikifyekwa naambulia 40% ya jumla ya mishahara yangu kisha narudi kitaa.

Hapa nchn kuna watu wanakula raha sana.

Ukiteuliwa na usitajirike lazma uwe na faili milembe.
 
Yaani kazi ya kulinda magendo na mipaka ya nchi mpaka mkuu wa mkoa aje front?

Ndiyo maana tunashauri jeshi la police kufumuliwa na kuundwa upya

Yule mwamba aliingia front direct tukasanda, hawa wengine njia nyeupe nikukanyaga hadi tuchoke wenyewe
 
Mjeshi alikuwa na uhakika wa mafao ya ubrigedia hadi kufa na mkewe!

Hata alipotumbuliwa alirudi kikosini na kukabidhiwa prado landkruza lenye dereva sajenti wa jwtz na msaidiz afisa nyota moja wa jwtz. Hapo ofsn anakuta ps private dem wa jwtz ndo maana hana uharaka na rushw za m20!

Akina kajamba nan kama mimi nitakula mrungula hata wa lak 1 coz nikifyekwa naambulia 40% ya jumla ya mishahara yangu kisha narudi kitaa.

Hapa nchn kuna watu wanakula raha sana.

Ukiteuliwa na usitajirike lazma uwe na faili milembe.
Mshahara wa bregidia na wa Rc upi mkubwaa?
 
Toka aondoke gaguti magendo tulivusha sana, nchi hii ili uwe tajiri either uwe fisadi, au uibe au ufanye gendo kiakili gaguti alikua nuksi
Na ndio maana hatuendelei. Unadhani hizo sifa ulizoorodhesha zinaleta maendeleo? Halafu utajiri wenyewe unaousifia kwa hizo sifa hauzidi milioni 50 (20k USD) na hapo umeroga na kutoka kafara kwelikweli.

We are a very hopeless race!
 
Yule mjeshi tulinyoosha mkono.
Ulikua ukitaka kuvusha mzigo unashangaa ashakudaka mwenyewe na rushwa hachukui.
Ukipita majini unashangaa fiber ishafika na yeye yumo.
Ukivusha kupitia vichochoro unaona bodaboda kumbe ni mwenyewe alikua halali yule jamaa.
Nchi imefunguka na Kagera imefunguka kuelekea Uganda mambo sio mabaya kabisa.
Kazi iendelee.
Mtwara mnalima Kahawa gani?

Amekuja Kanali mwingine ni suala la mda tuu,mnatumia loophole ya Sasa ila akitulia kwenye kiti mtanaswa tuu.
 
Mshahara wa bregidia na wa Rc upi mkubwaa?
Rc yupo juu kwa laki 8 kavu, lakn kwa mwaka pesa halali brigedia anamfunika rc mbali sana hata 5m juu.

Brg akiwa rc au dc hatazodolewa live hata vyumban, rc brg hawez kuwaogopo akina rso wala rpc na wao wanamhaha sana kuliko akiwa uvfisiem ma rso wanamwona wa kawaida tu.

Shikamo gwanda
 
Sasa inakuwaje huyu Prezdaa kamtoa kule wakati jamaa alikuwa mchapakazi halali usiku kucha 🤔
Yule mjeshi tulinyoosha mkono.
Ulikua ukitaka kuvusha mzigo unashangaa ashakudaka mwenyewe na rushwa hachukui.
Ukipita majini unashangaa fiber ishafika na yeye yumo.
Ukivusha kupitia vichochoro unaona bodaboda kumbe ni mwenyewe alikua halali yule jamaa.
Nchi imefunguka na Kagera imefunguka kuelekea Uganda mambo sio mabaya kabisa.
Kazi iendelee.
 
Na ndio maana hatuendelei. Unadhani hizo sifa ulizoorodhesha zinaleta maendeleo? Halafu utajiri wenyewe unaousifia kwa hizo sifa hauzidi milioni 50 (20k USD) na hapo umeroga na kutoka kafara kwelikweli.

We are a very hopeless race!

Tani 30 ya kahawa grade one ni milioni 150 , Uganda inajiuza milioni 210 hadi 240 za tanzania figure zako ni magendo ya akina mama wa vitenge tunduma huko, kua mzalendo wewe mwenyewe acha sisi tuendelee kua hopeless kwa mifumo hii mibovu hapana, wakiimarisha mifumo tutalipa kodi halali bila shaka na ufisadi na rushwa vikiisha tutakaa kwenye mstari, kwa sasa ngoja turukeruke hata kwenye benki zao kamwe hawatoona kitu
 
Yule mjeshi tulinyoosha mkono.
Ulikua ukitaka kuvusha mzigo unashangaa ashakudaka mwenyewe na rushwa hachukui.
Ukipita majini unashangaa fiber ishafika na yeye yumo.
Ukivusha kupitia vichochoro unaona bodaboda kumbe ni mwenyewe alikua halali yule jamaa.
Nchi imefunguka na Kagera imefunguka kuelekea Uganda mambo sio mabaya kabisa.
Kazi iendelee.
Asante kwa taarifa, wewe ni raia mwema.Tumepata pa kuanzia.
 
Mjeshi alikuwa na uhakika wa mafao ya ubrigedia hadi kufa na mkewe!

Hata alipotumbuliwa alirudi kikosini na kukabidhiwa prado landkruza lenye dereva sajenti wa jwtz na msaidiz afisa nyota moja wa jwtz. Hapo ofsn anakuta ps private dem wa jwtz ndo maana hana uharaka na rushw za m20!

Akina kajamba nan kama mimi nitakula mrungula hata wa lak 1 coz nikifyekwa naambulia 40% ya jumla ya mishahara yangu kisha narudi kitaa.

Hapa nchn kuna watu wanakula raha sana.

Ukiteuliwa na usitajirike lazma uwe na faili milembe.
Nchi hii kuna watu wanakula raha kwakweli
 
Back
Top Bottom