Gypsumboard (drywall,wallboard or plasterboard)
Ni board iliyoundwa na msingi wa gypsum,na kufunika na karatasi kwa juu.
Matumizi:gypsum board hutumika juu ya mbao kama itumikavyo celling board,au kwenye frame za metal,pia kukatia partition ya vyumba.n.k
Ila isigusane moja kwa moja na eneo la udongo au mchanga,ikitumika kama ukuta.
Vipimo: upana wa 1200mm na 1220mm
Urefu- wa 2400mm na 2440mm
Unene-wa 9mm,12mm na15mm
Uzito-ya unene wa 9mm sawa na 6.3kg/msqr
ya unene wa 12mm ni 8.4kg/msqr
ya unene wa 15mm ni 10.5kg/msqr
Faida za gypsum board
1.huzuia moto kuishika
Gypsum board ina gypsum core inaundwa na maji yaliyokatika mfumo wa crystalline ambayo hutoa ukinzani yakinifu kwa moto kushika bodi.
2.Inakuzuia kusumbuliwa na mwingiliano wa chumba kingine(sound insulation)kama chumba kipo juu(up stairs),au vinafuatana(in line).
3.Ni rahisi kuweka
Panel zake ni kubwa kulinganisha na material mengine mfano zinakuwa kwenye vipimo vya inchi 48 na 54,pia huitaji vifaa vichache wakati wa kuweka
N.k.
Bei ni 17,000/piece(double)
-Tupo kwa ajili ya kukupunguzia gharama na usumbufu
Tupo mikocheni pembeni na mayfair plaza
[emoji625][emoji338][emoji337][emoji338] 0656816616,0713637508
,0766004940,0753637508 [emoji625][emoji338][emoji337][emoji338] 0656816616,0713637508
,0766004940,0753637508