Marando, where are you?

Marando, where are you?

leiya

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
661
Reaction score
1,592
Kati ya kauli zilizowahi kuwafanya wanachama wa UKAWA kutembea kifua mbele, ni pale mwanasheria na mwanasiasa mkongwe, ndugu Mabere Marando alipowahakikishia kwamba atatangaza matokeo ya uchaguzi mkuu mwenyewe.

Baada ya hali yake ya afya kuwa mbaya, naibu katibu Mkuu wa Chadema, ndugu John Mnyika, aliahidi kuvaa jukumu hilo, lakini mpaka matokeo rasmi yanatolewa nimeona wote wapo kimya.

Please popote mlipo, toeni neno lolote
 
Huu mchezo ni mchezo wa kupiga mpira wa karatasi !

Mchezo huo humuumiza mlevi na hata mzima!

Naamini umenielewa.
 
Teh teh ...jamaa kaingia mitini...bavicha wote hoi...
 
Teh teh ...jamaa kaingia mitini...bavicha wote hoi...
Alisema atatangaza matokea. Mimi nilijua wazi kabisa kwamba Marando hawezi kufanya hilo kwa kuwa anajua matakwa ya sheria. Mzee amebaki peke yake sasa. Wamemla wamemuacha kama ganda la muwa,,
 
Marando mabere anakula zake upepo tu mida hii
baada ya kumaliza kazi yake.
 
Last edited by a moderator:
I think xo cyo tym ya kuanza kumfta mchawi nan kilichpo nikujenga tz moja bla kujali itkd za chama ili maisha yaendelee cz siasa cyo uadui hta cku moja
 
Kamanda alikuwa akiugua, siku za hivi karibuni tulisikia kaenda India kwa matibabu. Hebu mtujuze maana kazi aliyowatuma vijana imekwisha. Na rais kashapatikana mjulisheni huko alipo. Alitamani yeye ndie aje kutangaza matokeo ya uchaguzi huu.
 
Mzee yupo salama, amesharudi Tanzania na yupo nyumbani amepumzika ili azidi kupata nguu zaidi. Hizi ni taarifa za uhakika kutoka kwa watu wa kuaminika.
 
Back
Top Bottom