Yes, CHADEMA iko simati ila inatubidi kuwa makini sana na hawa wanamtandao, ni ndugu zetu, baba zetu, marafiki wetu n.k lakini ni wabaya kuliko ukoma! Tunakazi kubwa ya kuwadhibiti lakini hata kama itakuwa vingivevyo kwa kuwa wanatumia nguvu kubwa sana kututawala mwisho u karibu! Hawa jamaa ni mafia sana tunahitaji nguvu ya ziada maana wakolafu mno. Tuwe makini nao wanaweza kutuongoza lakini si kwa ridhaa yetu! Marando pigilia misumari ya nchi nane huko wasiweze kuiongoa! Mpaka sasa nawashukuru hawa wanamageuzi kwa kazi nzuri tuliyoifikia mpaka sasa, ujumbe wanao na hawapati usingizi. Big up wanamageuzi kote Tanzania!Tusife moyo kuna siku Mungu atasikia kilio chetu!