Marais wetu...

Halafu kikwete sijawahi kumwona akipiga picha na wanaume wenzake. Yaan yeye na mademu tu dah! Huyu jamaa noma kwa vyupi tu
 
Halafu kikwete sijawahi kumwona akipiga picha na wanaume wenzake. Yaan yeye na mademu tu dah! Huyu jamaa noma kwa vyupi tu
mkuu kila mtu ana ugonjwa wake Jk anapenda sana totoz
 
Halafu useme eti Africa kuna viongozi! Dark Continent!

Kuna viongozi maboya, lakini si kwa kigezo hiki ku conclude hivi, maana ata viongozi unao wajua wengi wana crazy moment zao.
 
Na kweli anapenda kupiga picha na mademu
 
Attachments

  • 1422641052413.jpg
    33.8 KB · Views: 206
Ni halali yake kuugua tezi dume. Mzee wa papuchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…