Mkuu mimi nakubaliana na wewe kuhusu wataafu wetu wa ngazi za juu sio tu marais bali hata makamu na waziri mkuu, hawa kwa mujibu wa katiba iliyopo wanastahili kilipwa stahilki mbalimbali ili kujikimu kimahisha, malipo haya ni kodi zetu sisi wananchi (wapenzi wa CCM, CUF, NRA etc) naamini si haki na sahihi kwetu wengine ambao si CCM kumlipia mtu ISHI yake halafu aje kusimama kututukana/kutupinga. Naamini itakuwa sahihi sheria ikitamka wazi kwamba kama bado wana hamu ya siasa za majukwaani badala ya kupumzika kama ambavyo wanatakiwa,basi wasistahili kulipwa- Walipwe wale tu wanaopumzika kweli