marais wa Bongo MKAPA+JK+MWINYI

Kwani ni jambo la lazima ukialikwa "Futali" uvaa "kanzu" na "baragashia"?
 
Hao wawili ni vilaza kupita maelezo
 
Ha ha ha hapo si Regent Estate? wacha wafurahie futari wameitoa nchi hii mbali sana
 
Slaa na Mbowe akiona picha kama hii machozi yanawatoka kwa jinsi walivyo na uroho wa madaraka! Watakufa wamesimama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…