Mi ni mdada wa miaka 32, natafuta marafiki wanaojitambua wa jinsia zote wa kubadilishana nao mawazo wawe
na umri kuanzia miaka 33 na kuendelea.
Tuwasliane kwanza kwa Email nazeekasasa@yahoo.com kisha tutabadilishana namba za simu.Sihitaji comment za kijinga kama haikuhusu basi pita kimya kimya.
Mbona marafiki tupo wengi...karibu PM