Unajua inafikia akipindi urafiki unavuka mipaka kama hii.
Mimi nilikuwa na rafiki yangu mmoja tulizoeana sana mpaka tukawa kama ndugu, tuliaminiana sana, lakini kuna jambo moja ambalo mpaka leo huwa najiuliza sielewi ni nini kilinifanya nilikubali jambo hili.
Ni Kwamba tulikuwa tunafanya Exchange ya mademu yaani mimi nachukua demu wake naenda kupiga, au (kusex) kwa lugha yenu mliosoma na yeye anachukua demu wangu anaenda kupiga.
Sasa ninachojiuliza kati yetu sisi WANAUME na wale MADEMU ni wapi walikuwa bogus?