makota1809
Member
- Jan 2, 2015
- 51
- 32
Kuna rafiki yangu bhna nmelea sana alikuwa anashinda home asubuhi mpaka jioni kula mpaka siku nyingine kulala kavaa nguo zangu sana naona kapata kazi ya ualimu kaanza nyodo ata simu hapokei kaanza kunifundisha roho mbaya sana
Mshkaj ni muhuni .... Amezoea kupiga...shukuru Sana ungemzoea tena ungewasaidia polisiMi rafiki mmoja aliniibia suruali yangu na simu geto huko magetoni Mabatini Mbeya 2012....nikaja kukutana nae Buzuruga Mwanza 2016 alivoniona akanichangamkia sana akanionyesha baa fulani ambapo alikuwa ndo meneja...akanisaidia vitu fulani fulani lakini sikuwa na imani nae tena...siku ya siku naenda pale baa kumuulizia naambiwa kawaibia milioni 4 kasepa. Mshikaji alikuwa ni mtu wa Morogoro..toka hapo marafiki nawaangaliaga kwanza kwa macho ya rohoni.
Wana wanajisahau Sana,Nlikuwa nae mshikaj mwingne tena, baada ya wakwanza kumuibia bimkubwa familia ikasahau ikamsaidia mwingine kumsomesha taratibu akaanza kukamata vijisent hatimae akaanza kuwaongelea ovyo wazee wangu...kiukweli had leo najtahid kumsamehe....aliongea ovyo Sana licha ya msaada walompa,alipoona kapata vijisent vya tour guide akaona laif kalimudu....Kuna rafiki yangu bhna nmelea sana alikuwa anashinda home asubuhi mpaka jioni kula mpaka siku nyingine kulala kavaa nguo zangu sana naona kapata kazi ya ualimu kaanza nyodo ata simu hapokei kaanza kunifundisha roho mbaya sana
Nimeuapdate bro...ndo Uzi wa kwanza kupost ...ni mgeni katika kushusha Uzi....mapungufu ni mengi bado najfunzahuu uzi mzuri san tena ungeweza kufika mbali lkn mleta uzi ndo umezingua, ilibidi ulte kisa chako ndio na wachangiaji wangefunguka sana...
Nmecheka Sana Kama mazuri vile, et n naishukuru serikaliNilipoanza harakati marafiki walikuwa karibu nami,lakini kila nilivyozidi kupiga hatua nzuri katika shughuli zangu za kujitafutia kipato ndivyo walivyozidi kupungua.
Muda huu naandika sina rafiki hata mmoja,wote wamenitenga na wengine wamethubutu hata kwenda kwa sangoma ili kunizima kisha wananipigia simu na kuniuliza, "Bro vipi maendeleo ya mradi wako".... Daima jibu langu lilikuwa moja tuuu "Aisee mambo yako safi sanaa"...... Nia yake ajue jee alichoenda kukifanya kuharibu shughuli zangu kimefanikiwa ama la!!!
Nikiwa sipo ndo wanakuja kuangalia nimefikia hatua gani katika shughuli zangu,nikiwepo hakanyagi mtu.
Naishukuru serikali kwa kuweka sheria ngumu katika umiliki wa silaha na kuthibiti silaha kuzagaa hovyo mitaani maana ningeshajidakia yangu na kuwafagia hawa wajinga wote.
Marafiki ni moja kati ya kundi linaloweza kukukwamisha kuelekea mafanikio. Tupa kule haraka sanaa ukishaona viashiria tuu.
Jitahidi sanaa kuwa msiri wa mipango yako kimaisha.
Mabatini mbeya unanikumbusha long time sanaMi rafiki mmoja aliniibia suruali yangu na simu geto huko magetoni Mabatini Mbeya 2012....nikaja kukutana nae Buzuruga Mwanza 2016 alivoniona akanichangamkia sana akanionyesha baa fulani ambapo alikuwa ndo meneja...akanisaidia vitu fulani fulani lakini sikuwa na imani nae tena...siku ya siku naenda pale baa kumuulizia naambiwa kawaibia milioni 4 kasepa. Mshikaji alikuwa ni mtu wa Morogoro..toka hapo marafiki nawaangaliaga kwanza kwa macho ya rohoni.
Mbona haukurudi..Nitarudi
Mbali road,makete majengo,simike nakumbuka sehemu hizi tuMabatini mbeya unanikumbusha long time sana