Maradona: Hakuwepo, hayupo na hatokuwepo mlinzi kama Franco Baresi

Gang Chomba

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
20,301
4,681
IMG_6502.jpeg
IMG_6505.jpeg

🗣️ “Baada ya Mchezo dhidi ya Milan, mshambuliaji Nyota wa SSC Napoli Armando Diego Maradona anaeleza kuwa, hakuwahi kutokea, hayupo na hatokuwepo Mlinzi kama Franco Baresi.

Hii jezi sina budi kuivaa hapahapa Uwanjani kwa maana ni jezi ya Mlinzi bora kuwahi kutokea.

Nina jezi nyingi lakini hii ni jezi bora na itakwenda kukaa sehemu ya peke yake.

Nimecheza Dakika 90 bila kuchezewa rafu, nimetoka Uwanjani bila mchubuko, wala mkwaruzo.

Hakika huyu ni zawadi tunayo paswa kujivunia Watu wa Soka na nina furaha saana kwa kuwa ni miongoni mwa Mtu niliecheza na Franco.

Alimaliza Maradona.

Endelea kupumzika kwa amani mwamba Armando Diego Maradona maarufu kama el pibe di Oro yaani Golden Boy.
 
Katika maisha yake yote ya soka Maradona alicheza mechi moja tu dhidi ya huyo beki Franco?
 
Bares alikua mzuri ila karne ya Ishirini top central Diffender/ libero alikua mwamba kabisa wa kijeruman Franz Beckenbour a. k. a The Kaiser ( mtawala)
 
Bares alikua mzuri ila karne ya Ishirini top central Diffender/ libero alikua mwamba kabisa wa kijeruman Franz Beckenbour a. k. a The Kaiser ( mtawala)

Acha kumlinganisha Baresi na chochote mkuu, Hakujawai kutokea kama Baresi, Beckenbour hawezi kuingia hata kwa Scriea
 
Acha kumlinganisha Baresi na chochote mkuu, Hakujawai kutokea kama Baresi, Beckenbour hawezi kuingia hata kwa Scriea
Nami nakuacha kama ulivyo na uelewa wako. Wapo waliofikiri papa ni kiumbe mkubwa wa majini kwakua hawakuwahi kumuona Nyangumi.
 
Back
Top Bottom