KOLOKOLONI
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 2,477
- 2,360
Nikiwa katikati ya kundi langu la kijiweni huko kwetu kunaitwa Jamaica camp nikasema acha na mimi nijaribu kuvuta leo hiyo bangi nione.
Duh nikavuta bonge la msokoto wa bangi kilichofuata akipita kuku au inzi mimi kucheka tu, baadae nikajisaidia haja kubwa tena nilijificha nyuma ya mchaichai nikihisi nipo kwenye bonge la msitu na nilipomaliza nilikula ugali mkubwa sana haikuishia hapo baadae nikawa nikitembea barabarani nikawa nahisi barabara inatitia na nilipolala kitanda kikawa kinazama.
Sitaki bangi tena.