Mara ya kwanza kununua kondom ilikuwaje?

Mara ya kwanza kununua kondom ilikuwaje?

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,255
Siku yako ya kwanza kwenda ku-buy ndom enzi hizoo ilikuwaje?

Jamaa ilikuwa hivi

Jamaa ka turn 18 kapata mzigo upo geto kwa mshikaji akakumbuka dhana siunajua matangazo mengi . Mtu fasta hadi duka la dawa anaulizwa asaidiwe nini dogo ana vunga muuza dawa ni maza kijana.

Muuzaji: unataka condom nini?

Dogo : ndio nipe pakit 2

Muuzaji : unaonekana hujawahi tumia hiii

Dogo : ndio (kidizaini ujasiri ukaja)

muuzaji katoa ndom akamtel haya ona jinsi ya kuivaaa . Kaitoa moja akaivalisha katika dole gumba lake

Muuzaji: umeelewa? Au hujawahi fanya?

Dogo : ndiiooo

muuzaji : hebu zunguka nyuma kwa ndani.

Dogo kazunguka kamkuta muuzaji yupo half naked......

Muuzaji: vaa kama nilivo kuelekeza ukiwa tayari njoo

Muuzaji akalal chali

Dogo: niingizeee au

Muuzaji: ingiza

Dogo kasugua kama mara kum hivii kwisha kazi

Muuzaji: mbona naskia unyevu

Kucheki dogo kavaa ndom kwenye dole gumba lake..
 
Mm nilikua nazinunua ucku tu,tena kwenye viduka ambayo taa zake hazina mwanga mkali
 
Nakumbuka ilikuwa primary, nlitumwa na wakubwa wa shule
 
Nlienda pharmacy nikanunua nikarudi. SIoni aibu kwenye hii mambo

Niliwahi enda nkamkuta muuzaji ni rafiki yake mama kinoma n enzi hizo nilikuwa kwa teenage
 
Mm kwa kweli kutumia kondom no jaman nilijaribu sikupata raha zaidi niliwashwa na kujikuna tu,kondom sitaki kuzisikia
 
Mm kwa kweli kutumia kondom no jaman nilijaribu sikupata raha zaidi niliwashwa na kujikuna tu,kondom sitaki kuzisikia

Una allerg nazo nn?...ila kiukweli me nshauza mechi sana tu coz ndom haina utamu mkuu
 
una allerg nazo nn?...ila kiukweli me nshauza mechi sana tu coz ndom haina utamu mkuu
nahisi hivyo nina alegi nazo mkuu,kwanza sisikii utamu wowote zaid nawashwa tu,labda wanaume ndo wanasikia utamu mm sisikii kabisaaaa sizitaki bora kavu kavu tu kama ukimwi nipate ila na utamu nifaidi
 
So unapenda ile magic stick ikiwa bila insulation..me nikavaa ndom naona kama napiga puchuuu
 
Back
Top Bottom