mara moja inatosha

mara moja inatosha

Evans Martin

Senior Member
Joined
Jan 14, 2014
Posts
156
Reaction score
36
kama ulishawai kumuambia mpenzi wako unampenda, basi haina haja ya kumuambia tena, kurudia rudia nako kunabore.
 
Hii inatofautiana kati ya "Ntu na Ntu", wengine hata wakiambiwa mara elfu kwa siku hawaboreki na inawapa furaha kubwa sana moyoni.

kama ulishawai kumuambia mpenzi wako unampenda, basi haina haja ya kumuambia tena, kurudia rudia nako kunabore.
 
Last edited by a moderator:
Hii inatofautiana kati ya "Ntu na Ntu", wengine hata wakiambiwa mara elfu kwa siku hawaboreki na inawapa furaha kubwa sana moyoni.

True,kuna wengine bila kumtamkia love u hajafurahi.
 
Last edited by a moderator:
Me napenda aniimbie kila wakati aisee love u love u love u love u love u love u...
 
heheheeee mmenikumbusha kijana mmoja yeye akituma sms neno mpenzi linarudiwa si chin ya mara 5 kwa sms asa anakuja kujibiwa dry daaa inachosha sana hii
 
Mmmh. S kweli.kama anabore wako tena labda mdomo wake inanuka.s wa kwangu
 
Mmh usiombe hiyo "I love u" uwe unaambiwa na mtu unayempenda, awww utatamani akuambie hivyo hata kila sekunde.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom