Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,970
- 168,911
Usiwe sooo much good, ukiwa hivyo unakua unaboa na unakua sio mtamu...."bad boys are so sweet and addictive" you know wora m saying?Habar za mchana
Nina mapungufu mengi ni kiwa kwenye mahusihano moja ni kutojua kufoka yaani nashindwaga kabisa kumfokea mtu nilie nae kwenye mahusihano
Na Kama amenikosea basi nikiaza kumuelekeza kwa upole naamini ndio njia rahisi na mzuri bas anapanda juu na Mimi nikiona mtu kapanda juu basi natulia na msikiliza yeye now nina history nying za waty ambao tumeachna Sababu hiyo mm huwa sipend kufoka na kupiga
Yaani kifupi mimi sio mkali ata akinikosea mimi basi naomba msamaha nisaidie nifanye nini? I need to change na nahitaji ushauri mzuri na sio matusi wala kejeli
Kuna uzi huko watu wanakutafuta Evelyn SaltUsiwe sooo much good, ukiwa hivyo unakua unaboa na unakua sio mtamu...."bad boys are so sweet and addictive" you know wora m saying???
Ukweli mtupu sii nyie ndio mnakuwaga na kidomo domo nipe nipe kama wee mwanaume kweli. Sasa hapo kwa nini usizabuliwe kofiSio kweli
Na hii ni mbaya sana unakua kwenye uhusiano halafu hauko huru kuelezea hisia zako....sasa we ni mpenzi au mpenzi mtazamaji?Kuna uzi huko watu wanakutafuta Evelyn Salt
Turudi kwenye mada: ni vile tu mademu wa Kiafrika wana kautamaduni kakuogopa kufunguka ya moyoni wanapokuwa na wenza wao kwamba nini kinawaturn on
Wanatupenda sana mabad boys mambo tunayowafanyia wanajihisi dunia yote yao
Nimekupata bestUsiwe sooo much good, ukiwa hivyo unakua unaboa na unakua sio mtamu...."bad boys are so sweet and addictive" you know wora m saying???
Ili muwanyanyase vizuri sioHongera ,,,watu wanabahati jamani wanazichezea[emoji3]wengine tunatafuta wapole Kama hivi wengine wanawapiga teke..[emoji28][emoji28]
😅😅😅 NikweliUkweli mtupu sii nyie ndio mnakuwaga na kidomo domo nipe nipe kama wee mwanaume kweli. Sasa hapo kwa nini usizabuliwe kofi
Ili muwanyanyase vizuri sio
Kaa mbali na kaka etu kwani nme msogelea🤣🤣🤣
Mkuu uko mkoa gani kwa sasa?Habar za mchana
Nina mapungufu mengi ni kiwa kwenye mahusihano moja ni kutojua kufoka yaani nashindwaga kabisa kumfokea mtu nilie nae kwenye mahusihano
Na Kama amenikosea basi nikiaza kumuelekeza kwa upole naamini ndio njia rahisi na mzuri bas anapanda juu na Mimi nikiona mtu kapanda juu basi natulia na msikiliza yeye now nina history nying za waty ambao tumeachna Sababu hiyo mm huwa sipend kufoka na kupiga
Yaani kifupi mimi sio mkali ata akinikosea mimi basi naomba msamaha nisaidie nifanye nini? I need to change na nahitaji ushauri mzuri na sio matusi wala kejeli
Ndio maana watu wanahangaika na sijui mkongo mara viagra mara sijui siridhishwi mara hanifikishi kileleni kumbe kuna mahala ukimkuna vizuri anaridhika ila ndo hamsemi.Na hii ni mbaya sana unakua kwenye uhusiano halafu hauko huru kuelezea hisia zako....sasa we ni mpenzi au mpenzi mtazamaji?
Bad boys ni watamu ni vile tu wivu unakua unatutawala
Evelyn Salt wewe unajua sana 🤣🤣🤣🙌Na hii ni mbaya sana unakua kwenye uhusiano halafu hauko huru kuelezea hisia zako....sasa we ni mpenzi au mpenzi mtazamaji?
Bad boys ni watamu ni vile tu wivu unakua unatutawala
Wengi tu hatupendi kufoka ila tumia namna yako hiyo hiyo ya upole kung'ata na kupuliza, hakikisha unapoongea inaingia moyoni kwake na kuumiza vibaya sana kama mtu aliyepigwa kofi zito. Acha kujiweka kinyonge na kuomba omba msamaha.Nahitaji seriously relationship now nashindwa kupata seriously relationship
Kushindwa kufokea na kupiga kisha wewe kuachwa, ni maajabu haya!Habari za mchana
Nina mapungufu mengi nikiwa kwenye mahusihano moja ni kutojua kufoka yaani nashindwaga kabisa kumfokea mtu nilie nae kwenye mahusihano
Na Kama amenikosea basi nikiaza kumuelekeza kwa upole naamini ndio njia rahisi na mzuri bas anapanda juu na Mimi nikiona mtu kapanda juu basi natulia na msikiliza yeye now nina history nying za waty ambao tumeachna Sababu hiyo mm huwa sipend kufoka na kupiga
Yaani kifupi mimi sio mkali ata akinikosea mimi basi naomba msamaha nisaidie nifanye nini? I need to change na nahitaji ushauri mzuri na sio matusi wala kejeli
Ushawahi kubust K-vant kubwa kabla ya kwenda kufoka😁Habari za mchana,
Nina mapungufu mengi nikiwa kwenye mahusihano, moja ni kutojua kufoka yaani nashindwaga kabisa kumfokea mtu niliyenae kwenye mahusihano.
Na kama amenikosea basi nikiaza kumuelekeza kwa upole naamini ndio njia rahisi na nzuri basi anapanda juu na mimi nikiona mtu kapanda juu basi natulia namsikiliza yeye. Now nina history nyingi za watu ambao tumeachana sababu hiyo, mimi huwa sipend kufoka na kupiga.
Yaani kifupi mimi sio mkali, ata akinikosea mimi basi naomba msamaha, nisaidie nifanye nini? I need to change na nahitaji ushauri mzuri na sio matusi wala kejeli.
DsmMkuu uko mkoa gani kwa sasa?
Situmii kabisaUshawahi kubust K-vant kubwa kabla ya kwenda kufoka[emoji16]