Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,696
- 3,597
Kumbuka ndiye aliyetoa pass ya kichwa kwa Samata then Samata akakosa goli la Wazi. Of course hayuko vizuri but the guy is a sleeping giant. Anaweza kuamua game ikabadilika muda wowote. Nadhani ni majeruhi yanamsumbua. Kuhusu wachezaji wa Simba nakubaliana na kuongezwa kwa Kapombe ila wengine hapana. Maana aliyecheza jana (Hassan Kessy) anaonekana yuko kwenye show off zaidi kuliko kuzingatia aina ya match inayochezwa. Kwa upande wa midfield wamtoe Frank Dumayo nafasi yake acheze Faisal Salum (Fey Toto). Ila wamejitahidi sana match ya jana compared to their preparation na timu waliyocheza nayo. Ni hayo tu.Ulimwengu nae ni Kiazi tu hana kitu bora nafasi yake ingebaki hata wazi hakuna alichoongeza wala kupunguza.
Baada ya mechi ndo mnatambua kuwa kuna mchezaji wenu manula hakika ni mambumbumbuHivi Aishi Manula anacheza timu gani?
Kwani nyie mlikuwa hamjui. Vyura buana.Baada ya mechi ndo mnatambua kuwa kuna mchezaji wenu manula hakika ni mambumbumbu
Wadada na washwa na chawa😂😂si ndo majina ya waganda niliyokuwa nayasikia auWakina nani?
Timu yenu ya Uganda ilishikwa vibaya mpaka mashabiki mbumbumbu mmepagawaKwani nyie mlikuwa hamjui. Vyura buana.
anazeekea Mikia FC...Himid Mao kaondoka Azam wamemjengea mpaka nyumba...kama kweli ana kiwango akatafute changamoto mpya...No mkude no party kubali kataa
Nimekuelewa kaka umetoa ufafanuzi wakiufundiKumbuka ndiye aliyetoa pass ya kichwa kwa Samata then Samata akakosa goli la Wazi. Of course hayuko vizuri but the guy is a sleeping giant. Anaweza kuamua game ikabadilika muda wowote. Nadhani ni majeruhi yanamsumbua. Kuhusu wachezaji wa Simba nakubaliana na kuongezwa kwa Kapombe ila wengine hapana. Maana aliyecheza jana (Hassan Kessy) anaonekana yuko kwenye show off zaidi kuliko kuzingatia aina ya match inayochezwa. Kwa upande wa midfield wamtoe Frank Dumayo nafasi yake acheze Faisal Salum (Fey Toto). Ila wamejitahidi sana match ya jana compared to their preparation na timu waliyocheza nayo. Ni hayo tu.
Nashukuru kwa kunielewa Mkuu!!!Nimekuelewa kaka umetoa ufafanuzi wakiufundi
Pumba za kiwango cha PhD, hako ka Andunje kamuweke nani benchi kwenye timu ile?Pengo la kichuya lilikuwa wazi kabisa Msuva alikuwa lone wolf angekuwepo kichuya angetengeneza nafasi nyingi za magoli kuliko alizotengeneza ulimwengu.
Unaweza kuona team haikuwa na muunganiko mzuri kutoka kwa Domayo kwenda mbele.
Uwanja haukuwa Rafiki sana ndiyo maana hakukuwa na ufundi wowote uwanjani
Baba yakoPumba za kiwango cha PhD, hako ka Andunje kamuweke nani benchi kwenye timu ile?