Mapumziko ya maulidi ni lini?

Mapumziko ya maulidi ni lini?

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,633
Reaction score
7,021
Tafadhali nahitaji kupanga mambo yangu mapema ninaombakujulishwa maana nimesikia kesho PM atakuwa mgeni rasmi,je ni kesho wadau?
 
Nasikia BAKWATA walitangaza kuwa Baraza la Maulidi litafanyikia SINGIDA tarehe 12/12/2016.Hivyo kesho ndiyo mapumziko
 
Back
Top Bottom